Jirani asimulia jinsi alivyompata Assad Khan akiwa hoi kwa kuvuja damu nyingi

NA RICHARD MUNGUTI SHAHIDI Francis Gitonga aliyejitolea kumpeleka dereva wa Safari Rally Assad Khan katika Nairobi Hospital, ameambia Mahakama Kuu mnamo Alhamisi kwamba alimpata akiwa hoi kwa kuvuja damu nyingi. Alisema hayo wakati wa kusikilizwa kwa kesi dhidi ya dereva Maxine Wahome, mrembo aliyekuwa akiishi na Khan na ambaye ndiye mshukiwa mkuu wa mauaji hayo. […]