Jinsi ugumu wa maisha unavyotishia elimu ya watoto katika mitaa ya mabanda ya Mukuru

Taifa Leo
Published: Mar 01, 2023 13:10:20 EAT   |  Educational

NA SAMMY KIMATU WAZAZI katika mitaa ya mabanda ya Mukuru kwenye kaunti ndogo za Starehe na Makadara katika Kaunti ya Nairobi wameshindwa kugharimia masomo ya watoto wao kwa sababu ya umaskini na ugumu wa maisha. Akiongea na Taifa Leo, Mkurugenzi mkuu wa Kituo cha Mukuru Promotion Centre (MPC), Mtawa Mary Killeen amesema umaskini miongoni mwa […]