Jinsi mateka wa bangi alivyofyeka familia ya watu nane nusura awaangamize

NA MWANGI MUIRURI WATU wanane wa familia moja katika Kaunti ya Murang’a, akiwemo ajuza wa miaka 78, waliponea kifo baada ya kushambuliwa na jamaa wao mraibu wa mihadarati mnamo Machi 14 mwaka huu. Akifunguka hivi majuzi, Bw Francis Maina asema aligundua mwanawe wa kiume wa kipekee Eric Mwangi, 20, alikuwa akitumia dawa za kulevya miaka […]