Jenerali Ogolla achapa kibarua cha kwanza katika Sherehe ya Kitaifa tangu aapishwe kuwa CDF

Taifa Leo
Published: Jun 02, 2023 06:44:06 EAT   |  General

NA CHARLES WASONGA MKUU wa Majeshi ya Ulinzi ya Kenya (CDF) aliyeteuliwa juzi Francis Ogolla mnamo Alhamisi Juni 1, 2023 alitekeleza wajibu wake wa kwanza wakati wa sherehe ya kitaifa. Jenerali Ogolla ambaye mnamo Mei 14, 2023 alipandishwa ngazi na kuwa mkuu wa majeshi aliongoza wanajeshi walioandaa gwaride katika uwanja wa michezo wa Moi, mjini […]