JAMVI: Waasi kuhama Ford-K ni dafrau kwa Wetangula

Taifa Leo
Published: Dec 12, 2021 15:31:02 EAT   |  News

Na CHARLES WASONGA MZOZO ndani ya chama cha Ford Kenya utafikia kilele Jumanne pale mrengo unaoongozwa na mbunge wa Kanduyi Wafula Wamunyinyi utakapokigura rasmi na kujiunga na chama kingine cha kisiasa. Wadadisi wanasema hatua hiyo ni pigo kwa chama hicho ambacho ni chama kongwe zaidi cha upinzani nchini. Kiliasisiwa na aliyekuwa shujaa wa ukombozi wa […]