JAMVI: Uhatari wa ‘suti’ kwa Ruto, Raila

Taifa Leo
Published: Dec 12, 2021 16:04:52 EAT   |  News

Na CHARLES WASONGA HATUA ya Naibu Rais William Ruto na kiongozi wa ODM Raila Odinga kushikilia kuwa wawaniaji wanaounga azma zao za urais sharti wawanie kwa tiketi za vyama vyao huenda ikawakosesha kura mwaka ujao. Hii, kulingana na wadadisi, ni kwa sababu vyama vingine vidogo hukumbatiwa na wawaniaji ambao hutendewa hiana katika mchujo wa vyama […]