Jamii ya wafugaji Lamu yadai vita dhidi ya ugaidi vinailenga bila ushahidi

Taifa Leo
Published: Sep 28, 2023 13:17:38 EAT   |  News

NA KALUME KAZUNGU JAMII ya wafugaji katika Kaunti ya Lamu sasa inadai kwamba idara ya usalama eneo hilo inawalenga katika vita dhidi ya ugaidi. Hii ni kufuatia visa vya kujirudiarudia vya wafugaji kupotezwa katika hali tatanishi na watu wanaoadaiwa kuwa ni maafisa wa usalama. Kisa cha hivi punde zaidi cha mfugaji kutoweka asijulikane aliko ni […]