IEBC: Sonko yuko huru kuwania kiti kwa sasa

VALENTINE OBARA NA KENNEDY KIMANTHI GAVANA wa zamani wa Nairobi, Bw Mike Sonko (pichani), atakuwa huru kisheria kuwania ugavana Mombasa mradi tu awe amekata rufaa dhidi ya uamuzi wa bunge la kaunti ya Nairobi kumtimua mamlakani. Haya yamethibitishwa baada ya Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) kufafanua kuwa, haina mamlaka ya kuzuia mwanasiasa yeyote […]