Idadi ya vifo vya wanawake wanaofariki wakijifungua Kilifi yapungua

Na ALEX KALAMA KIWANGO cha vifo vya wanawake wanaofariki wakati wa kujifungua maeneo ya mashinani Kilifi kimetajwa kupungua, kutokana na hamasa zinazotolewa kuhusu umuhimu wa kujifungulia hospitalini. Kulingana na Katibu wa muungano wa maafisa wa kujitolea wa afya ya nyanjani eneo la Magarini, Bw Micheal Katana tangu kuanzishwa kwa kampeni hiyo wanawake wengi wajawazito wamekuwa […]