Huenda nyama ya pundamilia inauzwa madukani kupitia mlango wa nyuma

NA RICHARD MAOSI Visa vya kuwakamata na kuchinja pundamilia vimeanza kuripotiwa katika maeneo ya Gilgil na Naivasha, kwa sababu ya hali ngumu ya uchumi. Maeneo yanayoendesha biashara yenyewe ni North Lake, Kasarani, Longonot, Hells Gate na Marula ikizingatiwa hizi ni sehemu ambazo zinazungukwa na mbuga za wanyama na mashamba makubwa ya wawekezaji wa kibinafsi almaarufu ranches. […]