Hoteli zageuka magofu kwa sababu ya usalama kudorora mjini Malindi

Taifa Leo
Published: Aug 23, 2023 09:35:40 EAT   |  Travel

NA ALEX KALAMA INAVUNJA moyo mwekezaji na mfanyakazi katika hoteli yoyote ile kuona wageni na wateja wakianza kupungua ghafla. Ukweli mchungu ni kwamba zipo sababu nyingi ambazo zinaweza kuchangia hali hii. Baadhi ya wakazi na wawekezaji katika mji wa Malindi wanaujua ‘msiba’ huu kwa sababu wameshaona hoteli za kifahari na tajika eneo hilo kama vile Eden […]