Hofu vimbunga vikiua watu 100

Na MASHIRIKA NEW YORK, Amerika RAIS Joe Biden wa Amerika ameahidi kuyasaidia majimbo yaliyoathiriwa na msururu wa vimbunga Jumapili, ambapo viliharibu mamia ya nyumba, biashara na kusababisha vifo vya zaidi ya watu 100. Akitaja vimbunga hivyo kama “mojawapo ya mikasa mikubwa zaidi kuwahi kuikumba nchi hiyo”, Biden aliidhinisha msaada wa dharura kutolewa kwa jimbo la […]