Hofu vibiriti ngoma watachukua waume msimu huu wa nyumbu kuhama

NA RICHARD MAOSI MAKAHABA wanaendelea kumwagika katika Kaunti ya Narok wakimezea mate hela za watalii na wageni, msimu huu wa uhamaji wa nyumbu wanawake wa familia zao wakiingiwa na hofu huenda vibiriti ngoma wakachukua waume wao. Biashara zimenoga, mikahawa imejaa na njia zinazoelekea au kutokea mbuga ya wanyama ya Maasai Mara hazipitiki. Makahaba wamepiga kambi Sekenani, […]