Hofu hatua za Rais zanyonga demokrasia

Taifa Leo
Published: Mar 24, 2023 03:50:29 EAT   |  News

NA CHARLES WASONGA RAIS William Ruto amelaumiwa kwa kuendelea kunyonga demokrasia tangu alipoingia mamlakani mwaka jana hali ambayo imeanza kuitia doa serikali yake changa. Dkt Ruto ameelekezewa lawama kwa kuonekana kuhujumu uhuru wa vyombo vya habari, kuidhinisha ubinafsishaji wa mashirika ya serikali bila kushirikisha bunge na kuharamisha maandamano ya amani kinyume na kibali kinachotolewa na […]