Hisia mseto zatolewa kufuatia kauli ya Ngilu ‘kukejeli’ mavazi ya Ruto

Na WANGU KANURI WATUMIAJI wa mtandao wa kijamii wa Twitter wameonyesha hisia mseto baada ya Gavana wa Kitui Charity Ngilu kuchapisha picha ya Naibu Rais William Ruto akiwa amevalia mavazi ya kitamaduni na kisha kudai kwamba ni kama alisaka huduma za mganga. Kwenye picha zilizomfanya Bi Ngilu kutoa matamshi ya aina yale, Naibu Rais alikuwa […]