Hayawi hayawi…Jackie Matubia afichua mchumba wake mpya

NA FRIDAH OKACHI MWIGIZAJI Jackie Matubia amemtambulisha kwa umma mpenzi wake mpya, siku chache tu baada ya kudokeza kwamba ana nia kutaka kuolewa. Ijumaa, Desemba 8, 2023 mama huyo wa watoto wawili alipakia video zake Instagram na Facebook akiwa kwenye bwawa la kuogelea na mwanamume ambaye hakufichua majina yake. Katika video hizo, wapenzi hao wawili […]