Hatubahatishi, tutaandaa AFCON ya kupigiwa mfano asema Ababu

Taifa Leo
Published: Sep 28, 2023 14:01:08 EAT   |  Sports

Na CECIL ODONGO “Hatukupata haki ya kuandaa Kombe la Afrika 2027 kwa bahati. Tunastahili kwa sababu ombi letu lilisheheni mengi ambalo litafanikisha kipute hicho,” Haya ndiyo yalikuwa maneno ya Waziri wa Michezo Ababu Namwamba hapo jana baada ya kurejea nchini kutoka Cairo Misri ambapo mkutano wa Baraza la Kuu la CAF, uliipa Kenya, Tanzania na […]