Hatima ya Sheria ya Fedha ya 2023 kuamuliwa Novemba 24

Taifa Leo
Published: Sep 14, 2023 11:41:54 EAT   |  Business

NA RICHARD MUNGUTI HATIMA ya Sheria ya Fedha ya 2023 itajulikana baada ya siku 72 majaji watatu watakapoamua ikiwa itaharamishwa au la. Na wakati huo huo meneja mkurugenzi wa mamlaka ya kuthibiti bei za mafuta Daniel Kiptoo atahukumiwa kwa kukaidi agizo la mahakama na kuongeza bei ya mafuta ya petrol Julai 1, 2023. Majaji David […]