Hasara wafanyabiashara wakibomoa vibanda kupisha mradi wa barabara, majitaka

Taifa Leo
Published: Feb 23, 2023 13:21:14 EAT   |  Business

NA SAMMY KIMATU WAFANYABIASHARA zaidi ya 50 waliobomoa vibanda vyao vya kuuzia bidhaa ili kupisha mwanakandarasi apate nafasi ya kutengeneza barabara na mtaro wa kupitisha maji machafu wanakadiria hasara. Awali, waliendesha biashara zao mkabala wa barabara ya Busia inayoungana na ya Entreprise kwenye eneo la Viwanda kaunti ndogo ya Starehe. Akiongea na Taifa Leo, mwenyekiti […]