Hamasisho lapunguza idadi ya wanaofariki wakijifungua Magarini

NA ALEX KALAMA IDADI ya wanawake wanaofariki wakati wa kujifungua katika eneo la Magarini imepungua kutokana na hamasisho linalotolewa kwa wajawazito wakihimizwa kujifungua hospitalini. Kulingana na katibu wa muungano wa maafisa wa kujitolea wa afya ya nyanjani eneo la Magarini Micheal Katana, tangu kuanzishwa kwa hamasisho hilo, wanawake wengi wajawazito wamekuwa wakitembelea kliniki. “Siku za […]