Haaland alivyoweka rekodi kwa kuibuka Mchezaji Bora na Chipukizi Bora wa Mwaka katika EPL 2022-23

Taifa Leo
Published: May 30, 2023 13:59:27 EAT   |  Sports

Na MASHIRIKA MSHAMBULIAJI Erling Haaland wa Manchester City aliweka rekodi ya kuwa sogora wa kwanza kuwahi kutawazwa Mchezaji Bora wa Mwaka na Chipukizi Bora wa Mwaka katika msimu mmoja wa Ligi Kuu ya Uingereza (EPL). Mabao 36 yaliyopachikwa wavuni na nyota huyo raia wa Norway msimu huu ambao ulikamilika Jumapili yamemshuhudia akivunja rekodi ya magoli […]