GWIJI WA WIKI: Prof Mosol Kandagor

NA CHRIS ADUNGO ZAIDI ya kutoa fursa kwa washiriki kujadili kwa jicho la kiuhakiki nafasi ya Kiswahili katika uchumi wa kijani, Kongamano la 23 la Kimataifa la Chama cha Kiswahili cha Taifa (CHAKITA) mwaka huu 2023 liliwapa pia wanachama jukwaa la kuchagua viongozi wapya. Kongamano hilo la siku mbili lilifanyika katika Chuo Kikuu cha Kabianga, […]