GWIJI WA WIKI: Peter Ndung’u

Taifa Leo
Published: Mar 02, 2023 14:58:33 EAT   |  Educational

NA CHRIS ADUNGO MWALIMU mwenye mapenzi ya dhati kwa taaluma yake huwa na msukumo wa kutaka kujifunza mambo mapya. Zaidi ya kuchangamkia masuala yanayofungamana na mtaala, ni mwepesi wa kusoma kutoka kwa vyanzo mbalimbali ili awe chemchemi ya maarifa kwa wanafunzi wanaomtegemea. Safari ya elimu ni sawa na vidato vya ngazi. Mwanafunzi anastahili kupanda vidato […]