GWIJI WA WIKI: Dkt Timothy Kinoti

Taifa Leo
Published: Sep 21, 2023 08:58:42 EAT   |  Educational

NA CHRIS ADUNGO TIMOTHY Kinoti M’Ngaruthi alizaliwa mnamo 1967 katika kijiji cha Kanthungu, Ruiri, Kaunti ya Meru. Ndiye kitinda mimba katika familia ya watoto tisa wa marehemu Mzee M’Ngaruthi M’Kirigia na Mama Grace Kaguri. Alisomea katika shule ya msingi ya Loire (1975-1983) na shule za upili za Chuka (1984-1987) na Kanyakine (1988-1989). Ana Shahada ya […]