Gor yarejea kileleni, Vihiga Bullets ikisimamisha AFC

Taifa Leo
Published: Dec 13, 2021 04:00:57 EAT   |  Sports

Na CECIL ODONGO GOR Mahia jana Jumapili ilirejea hadi kileleni mwa msimamo wa jedwali la Ligi Kuu licha ya kupata sare tasa dhidi ya Bandari katika mechi iliyosakatwa katika uga wa kitaifa wa Nyayo. Mabingwa watetezi Tusker ambao walikuwa wakirejea ligini kwa mara ya kwanza baada ya kubanduliwa kwenye Kombe la Mashirikisho (CAF) wikendi iliyopita, […]