Gavana Sakaja aahidi kuwaajiri maafisa wa kitengo cha usalama

NA WINNIEA ONYANDO GAVANA wa Nairobi, Johnson Sakaja, ameahidi kuwaajiri maafisa wa kitengo cha usalama 700 ambao kandarasi zao ziliisha chini ya utawala wa Idara ya Huduma za Jiji la Nairobi (NMS). Haya yanakuja siku chache baada ya waafisa hao almaarufu ‘kanjos’ kuandamana kutaka gavana huyo kutatua suala lao la ajira. Maafisa hao walidai kwamba […]