Gaspo Women kuzuru TZ na Uganda kwa mechi za kirafiki

Taifa Leo
Published: May 30, 2023 12:54:46 EAT   |  Sports

NA TOTO AREGE WAREMBO wa Gaspo Women ya Ligi Kuu ya Wanawake nchini Kenya (KWPL), watacheza mechi mbili za kirafiki nchini Tanzania na Uganda mtawalia. Hili limefichuliwa saa chache tu baada ya aliyekuwa mchezaji wa zamani wa Harambee Stars Sammy Owino kuahidi kuwapa zawadi ya Sh500,000 kwa kumaliza wa pili nyuma ya mabingwa Vihiga Queens […]