Gachagua: Wakenya wengi wanaamini mikakati ya Rais itaimarisha uchumi wa nchi

Taifa Leo
Published: Jun 01, 2023 10:23:02 EAT   |  News

NA MWANDISHI WETU NAIBU Rais Rigathi Gachagua amesema anaamini Wakenya wengi wanaunga mkono mikakati ya Rais William Ruto kuikomboa Kenya kiuchumi iache kutegemea madeni. Kwenye hotuba aliyoitoa leo Alhamisi akiwa katika uwanja wa Moi katika Kaunti ya Embu wakati wa sherehe za Madaraka, Bw Gachagua amewataka Wakenya wapuuze “propaganda zinazoenezwa na wapinzani wetu.” “Ninataka kukuhimiza […]