Gachagua, Raila wakaa ngumu

JAMES MURIMI Na JUSTUS WANGA NAIBU wa Rais Rigathi Gachagua na kinara wa Azimio Raila Odinga mnamo Alhamisi walishikilia misimamo yao mikali huku wakisema hawako tayari kwa mazungumzo baina ya serikali na Upinzani. Bw Odinga alikanusha madai anaongoza maandamano ili ‘akiribishwe’ katika serikali ya Kenya Kwanza. Akizungumza katika jumba la Capitol Hill, Nairobi, Bw Odinga […]