Gachagua: Nilinunuliwa suruali yangu ya kwanza nikiwa Form 2

NA SAMMY WAWERU NAIBU wa Rais Rigathi Gachagua amesimulia kuhusu maisha yake ya taabu shuleni na changamoto alizopitia. Akikiri kuzaliwa katika familia maskini, Bw Gachagua amefichua kwamba alivalia suruali ya ndani akiwa kidato cha pili. Gachagua alikuwa mwanafunzi wa Shule ya Upili ya Kianyaga, iliyoko katika Kaunti ya Kirinyaga. Maarufu kwa lugha ya mtaa […]