Gachagua asimulia alivyozuru kanisa Kericho nusu ya waumini wakiwa walevi

Taifa Leo
Published: May 30, 2023 11:23:24 EAT   |  News

NA SAMMY WAWERU NAIBU wa Rais Rigathi Gachagua amesimulia alivyozuru kanisa moja Kericho na kukuta nusu ya waumini wakiwa walevi chakari. Bw Gachagua amesema alikuwa ameungana na washirika wa kanisa hilo Bonde la Ufa ambalo hakifichua majina yake, akiwa na kiongozi wa nchi Rais William Ruto. Naibu Rais alisema ilikuwa jambo la aibu kuona nusu […]