FKF yashirikiana na FIFA kukuza soka ya akina dada nchini

Taifa Leo
Published: Jun 01, 2023 12:48:04 EAT   |  Sports

NA TOTO AREGE  SHIRIKISHO la Soka Nchini (FKF) limezindua kampeni ya kukuza soka ya akina dada na wanawake kwa ushirikiano na Shirikisho la Soka Duniani (FIFA). Kampeni hiyo ni programu ya kimataifa siku ya siku mbili ambayo imeanza Alhamisi na inatarajiwa kukamilika kesho Ijumaa katika uwanja wa Kasarani Annex jijini Nairobi. Akizundua rasmi kampeni hiyo, […]