Fidia: Wanawake wakaa chonjo kulinda mabwana

Taifa Leo
Published: Mar 23, 2023 10:41:13 EAT   |  General

NA KALUME KAZUNGU HUKU furaha ikitanda miongoni mwa wavuvi 4,734 walioathiriwa na ujenzi wa mradi wa Bandari ya Lamu (Lapsset) baada ya kuahidiwa kulipwa fidia katika kipindi cha siku 45 zijazo, kwa wengine, hasa wanawake, kwao ni karaha. Jumatano wiki hii, Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari nchini (KPA), kupitia kwa mwenyekiti wake, Benjamin Tayari, ilitangaza […]