Feri kuanza kutembeza watalii ndani ya bahari

Taifa Leo
Published: Dec 27, 2022 06:26:29 EAT   |  Travel

NA WAANDISHI WETU SERIKALI inaendeleza mipango ya kuanza kutumia huduma za feri kwa utalii wa baharini Mombasa. Baadhi ya wawekezaji katika sekta ya utalii wamekuwa wakipendekeza huduma za feri ziboreshwe, kisha zitumiwe kuwazungusha watalii sehemu mbalimbali za ndani ya bahari kama mojawapo ya mbinu za kipekee za kustawisha utalii Pwani. Kwa sasa, feri za Likoni […]