FAINALI YA FA: Ni Manchester United au Manchester City?

NA MASHIRIKA MBIVU na mbichi kuhusu nani mkali kati ya Manchester City na Manchester United itajulikana watakapokabana koo katika fainali ya Kombe la FA ugani Wembley hivi leo Jumamosi. Miamba hao wanakutana katika fainali kubwa kwa mara ya kwanza kabisa. Takwimu za ana kwa ana kati ya majirani hao kwenye dimba hili zinaweka mashetani wekundu […]