Fahamu kwa nini wanaume Lamu wanapenda kula hotelini kuliko nyumbani

NA KALUME KAZUNGU NI bayana kwamba wanaume wengi, hasa wale wa jamii ya Waswahili Wabajuni kisiwani Lamu hukimbilia kufakamia mapochopocho hotelini, vibandani na vichochoroni badala ya kusalia nyumbani kupikiwa na wake wao. Si jambo la kustaajabisha kumpata mwanamume aliyeoa na mwenye familia ya watoto wengi mjini Lamu akiwa amejibanza hotelini asubuhi na mapema, akinywa chai […]