‘Ex’ wa Diamond Platnumz, Hamisa Mobetto akana kukarabati uso wake

Taifa Leo
Published: Sep 14, 2023 15:30:30 EAT   |  Entertainment

Na SINDA MATIKO VITU vingi vimesemwa kumhusu soshiolaiti Hamisa Mobetto na kati yavyo ambavyo anakanusha, ni kufanyiwa upasuaji wa uso ili kunogesha mvuto wake. Lakini mwanamitindo huyo wa zamani ambaye kwa sasa shughuli zake ni za uinfluensa, kakanusha kufanyia uso wake ukarabati.Aidha aliweka wazi kwa nini tofauti na mastaa wengi, hajawahi kuchora tatoo mwilini wake. […]