Erick Omondi na Amber Ray kuporomosha kibao pamoja

NA MERCY KOSKEI MCHESHI Erick Omondi na mwanasosholaiti Amber Ray wametangaza kuwa wamejitosa kwenye muziki huku wakitarajia kutoa wimbo wao wa kwanza Ijumaa, Juni 2, 2023. Kupitia kurasa zao za mitandao ya kijamii, wawili hao walipeana habari hizo za kusisimua, huku Amber Ray akijitambulisha kama rapa mpya zaidi mjini, na kusema kuwa tofauti yake na wasani wengine […]