Eric Omondi aomboleza kupoteza mtoto aliyetaka kusaidia atibiwe nguvu za umeme zilipopotea

NA SAMMY WAWERU MCHEKESHAJI Eric Omondi anaomboleza kupoteza mtoto aliyetaka kumsaidia kupata matibabu, baada ya nguvu za umeme kupotea nchini mnamo Ijumaa, Agosti 25, 2023. Ijumaa hiyo jioni, maeneo mengi nchini stima zilipotea na kusababisha hasara hasa kwa huduma za kimatibabu, mikahawa na wafanyabiashara wanaotegemea nguvu za umeme. Kulingana na Omondi, alipaswa kuchangisha pesa kupitia […]