ELIMU MSINGI: Binti mfumaji mazulia

CHARLES WASONGA na PIUS MAUNDU BINTI Abigael Mumo, ambaye ni mwanafunzi wa gredi ya tatu katika Shule ya Msingi la Kaluluini, Kaunti ya Machakos, amevutia watu wengi kutokana na talanta yake ya kipekee ya ushonaji wa mazulia madogo ya milangoni (door mats). Mbali na kushona, msichana huyu amekirimiwa kipaji cha kurembesha mazulia hayo kwa maandishi […]