El Nino: Wanaoishi mtoni kuhamishwa ‘cha lazima’

Taifa Leo
Published: Sep 28, 2023 10:43:47 EAT   |  News

NA SAMMY KIMATU SERIKALI imeamua kuwaondoa kwa nguvu wakazi ambao wanaishi karibu na mto Ngong na pia kubomoa nyumba zote zilizojengwa katika kingo za mto Ngong. Akiongea Alhamisi, naibu kamishna kaunti ndogo ya Starehe, Bw John Kisang, alisema serikali iko mbioni kuchukua tahadhari za mapema kukabiliana na athari za mvua ya El Nino iliyotabiriwa na […]