El Nino: Uhaba wa mafuta Lamu kina mama wajawazito wakijifungua maeneo yaliyofurika  

Taifa Leo
Published: Dec 09, 2023 10:30:14 EAT   |  General

NA KEVIN MUTAI HUENDA shughuli za usafiri na uchukuzi katika Kaunti ya Lamu zikatatizika baada ya mafuriko yanayoshuhudiwa kuchangia uhaba wa mafuta. Boti ambayo ndiyo mojawapo ya njia kuu za usafiri, imetatizika kutokana na mvua ya El Nino inayoendelea. Hali hiyo imechangiwa na maji ya mafuriko ambayo yameharibu sehemu mbili za barabara kutoka Mokowe kuelekea […]