EACC sasa yafuata utajiri wa Matiang’i

NA WANDERI KAMAU TUME ya Maadili na Kupambana na Ufisadi (EACC) imemwandikia barua Mkuu wa Utumishi wa Umma, Bw Felix Koskei, ikimtaka kuikabidhi stakabadhi kuhusu kiwango cha utajiri cha aliyekuwa Waziri wa Usalama wa Ndani, Dkt Fred Matiang’i. Ripoti zilieleza kuwa EACC inamtaka Bw Koskei kuweka wazi mapato ya Dkt Matiang’i, mali anayomiliki na madeni […]