DOMO: Mtu asiniambie kuhusu mapenzi

Taifa Leo
Published: Feb 03, 2023 14:38:12 EAT   |  Technology

NA MWANAMIPASHO NDIO maana kila siku ya maisha yangu, huwa siyachukulii mapenzi kwa uzito. Sipendi kitu cha kunichanganya. Na kama kuna kitu kinachoweza kukuzengua kiasi cha wewe kutojitambua ni penzi. Wiki nzima hii imeshamiri mada ya mapenzi. Iwe kiki, iwe matendo iwe nini, visa vimehusu mapenzi. Nikianza na Kevin Mboya aliyetrendi Twitter baada ya kutangaza […]