Diwani wa UDA ashtakiwa kumteka nyara na kumpiga mwalimu

Na ALEX NJERU Diwani wa bunge la Kaunti ya Tharaka Nithi Morris Maugu ameshtakiwa katika mahakama ya Chuka kwa kumteka nyara na kumpiga mwalimu mmoja wa shule ya msingi. Mahakama hiyo iliambiwa Jumatatu, Septemba 4, 2023 kwamba Bw Maugu, Bw Martin Murangiri na Bw Pineas Muriuki walimteka nyara Bw Adams Kenneth Nthiga katika eneo moja […]