Diwani atoa hundi za basari kuwafaa wanafunzi 500, aahidi kutafutia vijana kazi kwenye viwanda

Taifa Leo
Published: Mar 14, 2023 10:18:02 EAT   |  Educational

Na SAMMY KIMATU [email protected] WAZAZI wenye watoto wanaoishi na ulemavu wameombwa kutowaficha watoto wao nyumbani na badala yake kushauriwa kuwapeleka katika taasisi za masomo ili kupata elimu. Akiongea wakati wa usambazaji wa hundi za basari katika Garage House, Mukuru-Commercial, mwakilishi wa wadi ya Landi Mawe, Bw Simon Maina Mugo almaarufu “Miche” aliwaambia wazazi kwamba kila […]