Dereva ashtakiwa kumteka nyara polisi

NA RICHARD MUNGUTI DEREVA wa Uber ameshtakiwa kwa kumteka nyara afisa mkuu wa polisi na kumzuilia kwa muda mrefu kabla ya kuokolewa na wenzake katika barabara ya Ngong, Kaunti ya Nairobi, Jumatano. Francis Karanja Wango aliyefikishwa mbele ya hakimu mkuu Susan Shitubi alikanusha mashtaka matatu ya kumteka nyara Inspekta Joseph Osugo, kukataa akitiwa nguvuni, na kuwazuia watumizi […]