Demu aamua wanaommezea mate wafanye ‘interview’

Taifa Leo
Published: Sep 29, 2023 08:04:12 EAT   |  General

NA JANET KAVUNGA SHANZU, MOMBASA MWANADADA wa hapa aliwaita makalameni wawili waliokuwa wakimmezea mate kwa kikao na kutaka kila mmoja amweleze kwa nini anampenda kabla ya kufanya uamuzi. Demu alichukua hatua hiyo majamaa hao ambao ni marafiki walipogombana kila mmoja akilaumu mwenzake kwa kunyemelea mpenzi wake. Binti wa watu alicheza kama yeye kwa kuwaleta kwenye […]