Dawa dhidi ya kikohozi kutengenezwa kwa utando wa konokono

Taifa Leo
Published: Feb 16, 2023 12:33:40 EAT   |  Educational

NA MAGDALENE WANJA JUMATATU alfajiri, tunawasili katika Chuo Kikuu cha Kilimo na Sayansi cha Jomo Kenyatta (JKUAT) ambapo tunampata Dkt Paul Kinoti akimwaga maji kwenye vijisanduku ambavyo vina konokono. Anatuambia kuwa maji hayo yanasaidia katika kutengeneza mazingira bora kwa konokono. Konokono hao wanatumika katika kufanyia utafiti ili kuunda bidhaa mbali mbali kama vile dawa ya […]