Dallas Allstars yateleza gozi la Koth Biro likipamba moto

Taifa Leo
Published: Dec 13, 2021 08:11:23 EAT   |  General

Na JOHN KIMWERE MABINGWA watetezi kwenye mechi za Koth Biro, Dallas Allstars walidungwa na Digo United bao 1-0 kwenye patashika iliyopigiwa ugani Umeme Ziwani, Nairobi. Kwenye mechi hiyo ya Kundi H, bao hilo lilifunikwa kimiani na David Mlami kunako dakika ya 30. ”Tumeanza mechi zetu vibaya ambapo itabidi turekebishe makosa yetu ili kujiweka vizuri kwenye […]